
Mwanamuziki Nikki wapili amejisufu kumbadilishwa mwanamuziki Dayna Nyange kutoka kwenye ku Rap mpaka kufanya mziki wa Kuimba. Nikki ameiambia Bongo 5 kwamba alikutana na Dayna studio na kumsikiliza jinsi anavyo Rap na kisha kumshauri kubadilika na mpaka sasa kufikia Mafanikio ya tuzo za kimataifa za AFRIMMA
0 MAONI YAKO:
Post a Comment