February 03, 2018

Image result for Simi - One Kain | Official Video | 2018
Kwa sasa nchini Nigeria, kama utawataja wanamuziki watano wa kike wanaofanya vizuri, basi naamini kabisa hutamuacha mwana dada Simi. Simi leo hii ametuletea Video ya wimbo wake wa One Kain. Naomba nikualike kuutazama wimbo huwo hapa chini

           

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE