February 08, 2018


 

Tamasha la 15 la Sauti za Busara nimefunguliwa rasmi na gwaride la Carnival kuanzia maeneo ya Kisonge Town hadi Michenzani huku likinogeshwa na vikundi mbalimbali kama vile Festival Dance Mob, Haba na Haba kutoka jijini Dar Es Salaam, na vikundi vya ngoma za asili kisiwani hapa.

 


 

 


 

 

 


 


 


Picha na Bongo5.com

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE