February 22, 2018

 
Kiongozi na mbunge wa Kigoma Mjini kupitia chama cha ACT Wazalendo Ndugu zitto Kabwe, anashuikiliwa na jeshi la Polisi Mkoani Humo. Kwa mujibu wa taarifa za kichama kupitia ukurasa wa Twitte, Ndugu zitto amepelekwa katika kituo kikubwa cha polisi na bado haijafahamika sababu za kukamatwa kwake

 

Kiongozi wa Chama Ndugu amenyimwa dhamana, hivyo bado anashikiliwa katika kituo kikuu cha Polisi Morogoro.


 



Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Ndugu ametuhumiwa kufanya Unlawful Assembly S. 74 cap 16 ya Sheria ya Kanuni ya Adhabu! -


Baada ya kuandika maelezo akiwa na Wakili wake toka Saa 22.42 hrs mpaka saa 23.40 usiku. Polisi wamekataa kutoa dhamana kwa maelezo wanasubiri maelekezo toka kwa wakubwa wao! Hivyo amewekwa mahabusu Kituo Kikuu cha Polisi Morogoro -



Polisi wamekataa kusema kama dhamana ipo wazi na masharti yake nini. Pia wamekataa kusema iwapo kesho watampeleka mahakamani kwa mujibu wa sheria au la. Emmanuel Lazarus Mvula Wakili wa

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE