Kutoka Morogoro Town au vijana wanaita Mor Town, yule mkali wenu wa kuandika, kuimba na kupangilia sauti, Mr. Kinyulinyuli kama wengi wanavyotamani kumuita ila mimi namwita Sameer, ameika toka alipojificha. Wimbo wake mpya huu hapa unaitwa Sawa amefanya katika studio za Mahewa Record chini ya Producer Willy Matajili
Tamko la ACT Wazalendo juu ya maamuzi ya kesi ya uchaguzi
-
MAHAKAMA Kuu ya Zanzibar (Masjala Kuu Tunguu) mbele ya Jaji Haji S. Khamis
imetoa uamuzi...
2 hours ago






0 MAONI YAKO:
Post a Comment