Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es salaam leo Machi 16, 2018 limetolea maelezo juu ya tuhuma za kupishana kauli na jeshi la polisi Iringa kuhusu tukio la kupotea kwa mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam (UDSM), Abdul Nondo aliyedaiwa kutekwa wiki mbili zilizopita. Msikilize Kamanda Mambosasa akizungumzia kupishana kwa kauli hizo ambapo awali Polisi Iringa walisema Abdul alijipeleka mwenyewe kituoni na Polisi Dar wakasema alikamatwa.
SERIKALI YAAHIDI MAFANIKIO ZAIDI SEKTA YA HABARI
-
Na Jacquiline Mrisho - MAELEZO
Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Habari - MAELEZO, Kelvin Kanje amesema kuwa
Serikali itaendelea kushirikiana na Wadau wa H...
Kilio ACT ikipigania haki ya uchaguzi
-
CHAMA cha ACT Wazalendo kimesema safari ya kuitafuta haki ya uchaguzi
inaendelea. Lakini papohapo, kingependa kuona Mahkama
0 MAONI YAKO:
Post a Comment