Kutoka nchini Nigeria mwanamuziki KCee, ameachia Video ya wimbo wake wa Burn. Katika wimbo huwo KCee amemshirikisha mwanamuziki wa Hip Hop kutokea nchini Ghana Michael Owusu Addo maarufu Sarkodie
Kilio ACT ikipigania haki ya uchaguzi
-
CHAMA cha ACT Wazalendo kimesema safari ya kuitafuta haki ya uchaguzi
inaendelea. Lakini papohapo, kingependa kuona Mahkama
0 MAONI YAKO:
Post a Comment