May 09, 2018

 
Beki wakimataifa wa Tanzania anaekipiga klabu ya Baroka FC inayoshiriki ligi kuu nchini Afrika Kusini, Abdi Banda ametwaa tuzo ya mchezaji bora wa mwezi Aprili na Mei 2018  ndani ya timu hiyo.
Banda ametangazwa kuwa mchezaji bora wa Mwezi baada ya kuisaidia timu yake kutoka sare ya mabao 2 – 2  dhidi ya Bloem Celtic mchezo uliopigwa Aprili 28.
Beki huyo raia wa Tanzania amejinyakulia kitita cha rand 5000.00 kutoka ndani ya klabu yake ikiwa ni utamaduni wa timu hiyo kutoa kiasi hicho kwa kila mchezaji bora wa Mwezi.
 Kwa sasa Baroka FC ipo nafasi ya 12 kwenye msimamo wa Ligi ikiwa imejikusanyia jumla ya pointi 34.

Related Posts:

  • Giggy Money: Nampenda Matonya kwa kuwa anahonga vizuri sana Mwanadada chakaramu mitandaoni na mwanamuziki Giggy Money, amesema anampenda sana mpenzi wake wa sasa ambae pia ni msanii wa Bongo flava Seif ‘Matonya’ Shaaban kwa kuwa ni muhongaji mzuri. Akizungumza kupitia k… Read More
  •  Kocha wa kilabu ya Manchester United Louis van Gaal hatimaye baada ya tetesi kuwa nyingi sasa rasmi amefutwa kazi kama kocha wa klabu ya Manchester United ,huku aliyekuwa mkufunzi wa Chelsea Jose Mourinho akita… Read More
  • Mh. Zitto Kabwe amvisha pete mchumba wake Inasemekana kuwa, Mh. Zitto Kabwe alimvisha pete mpenzi wake huyu wikiendi hii. Congrats to him, nitarudi na full details later coz for now, this is all their is to the story. … Read More
  • Hadhi aliyopoteza Kitwanga imetokana na Bunge-Lema Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Jonathan Lema amesema kitendo cha Rais Dkt. John Pombe Magufuli kumng'oa Waziri wa Mambo ya Ndani Charles Kitwanga kunatokana na Bunge kukosa … Read More
  • Alikiba amuombea kura Diamond Platnumz Alikiba alisema haya kwenye kipindi cha Planet bongo ya East Africa Radio na kusisitiza kuwa yeye kusaini mkataba na kampuni ya 'Sony Music' jambo kubwa sana katik… Read More

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE