
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limeitaka klabu ya Yanga kufanya
uchaguzi wa kujaza nafasi za viongozi wake waliojiuzulu ikiwemo ya
Mwenyekiti kwa wakati kwani tayari muda umeshapita.Agizo hilo limetolewa
kwa Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi ya TFF Revocatus Kuuli na Kaimu
Katibu Mkuu wa TFF Herman Julius akimtaka kuhakikisha klabu ya Yanga na
nyingine zinafanya uchaguzi haraka iwezekanvyo.Mbali na Yanga klabu
nyingine zinazotakiwa kufanya uchaguzi kwasasa ni AFC ya Arusha ambayo
inashiriki Ligi daraja la kwanza na Coastal Union ya Tanga ambayo
imerejea ligi kuu msimu huu.Y...
0 MAONI YAKO:
Post a Comment