Mbunge Kigoma Mjini, Zitto Kabwe akizungumza bungeni alipokuwa akichangia mjadala wa kupitisha makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa mwaka wa fedha 2018/2019, jijini Dodoma leo
Bunge la ahirishwa, kisa Lipumba kukamatwa, UKAWA wakomali
Tukio hili limetokea leo hii Bungeni Dodoma baada ya wapinzani kutaka hoja binafsi ya kukamatwa kwa mwenyekiti wa CUF Prof. Lipumba katika maandamano jana
Mbatia alisimama na kutoa hoja ya dharura ijadil…Read More
Club ya Olimpia ya Sinza yateketea kwa moto
CLUB Olympia iliyoko Sinza-Mori jijini Dar es Salaam, imeungua na
kuteketea kwa moto majira ya saa kumi na nusu usiku wa kuamkia leo
ambapo chanzo cha moto huo hakikuweza kufahamika mapema.
Mlinzi
wa club h…Read More
Wafanyan biashara Morogoro wagoma
Wafanya biashara mkoani Morogoro leo hii, wamegoma kufungua maduka na kuendelea na shughuli hiyo kutokana na mgomo unaoendelea.
Tukio hilo linaloendelea sasa ni kutokana na taarifa ya kukamatwa kwa …Read More
Juma Kaseja kusomewa mashtaka Februeary 12
Baada ya
Uongozi wa Klabu ya Yanga kutangaza kuachana na aliekuwa mlindamlango
wake Juma Kaseja na baadae kumfungulia mashtaka katika Mahakama ya kazi ,
hatimaye mlind amlango huyo sasa anatarajia kusomewa …Read More
New Audio: Yanayonisibu- Kenny Kennie
Baada ya kufanya poa na wimbo wake wa kwanza One and Only mwanamuziki anayefanya poa sana kwa sas kwa upande wa R & B toka mkoani Morogoro, Kenny, ameachia wimbo wake mpya kabisa unaoitwa Yanayonisibu uliofanyw…Read More
Tandika jamvi lako na Meridianbet hapa
-
Je unajua kuwa unaweza kumaliza Wikendi yako kirahisi sana ukiwa na
Meridianbet kwani ODDS...
The post Tandika jamvi lako na Meridianbet hapa first app...
0 MAONI YAKO:
Post a Comment