June 24, 2018


Image may contain: Farida Mees Matlou
Mratibu Mkuu New Miss Morogoro 2018 Farida Kilususu akizungumza na ummati wa wahudhuliaji usiku wa jana pale Samaki Spot
Pazia, lishafunguliwa rasmi, mwenye macho na haone, wamasikio wasikie. Ndiyo kauli tunayoweza kuitumia kwa sasa mara baada ya uzinduzi na kuwatambulisha rasmi washiriki wa kinyanganyilo cha kumpata mlimbwende wa mkoa wa Morogoro maarufu New Miss Morogoro 2018.

Image may contain: 4 people, people smiling, people standing and text 
 Katika utambulisho huwo uliohudhuliwa na mamia ya wakazi wa Morogoro, Mratibu mkuu wa shindano hilo Farida Fujo Kulusus maarufu Boss Lady, alipata fursa ya kuzungumza na wana Morogoro na kuwahakikishia, vigezo vyote stahili vimetumika katika kuwapata washiriki hao 12 watakaotoana jasho siku ya kinyang'anyiro pale Morogoro Hotel siku ya 14 July

 Akizungumza kwenye utamburisho huo wa warembo hao 12 Mratibu Mkuu wa shindano hilo Farida Fujo Kilususu alisema washiriki zaidi ya 40 waliomba kujiunga katika kinyang’anyiro hicho na kwamba waratibu wa shindano hilo Warda Makongwa, Esther Medison Doroth Mtenga waliwateuwa warimbwede hao 12 ambao ndio waliokidhi vigezo vilivyotakiwa na kamati hiyo. 


Image may contain: 7 people, people smiling

“ Kama tulivyo waona warembo wetu ndio hao ambao watapambana kwenye kinyang’anyiro cha kumsaka miss Moro 2018 shindano hilo linatarajiwa kufanyika julai 14 mwaka huu katika ukumbi wa hotel ya Morogoro na zawadi za washindi tayari zimeshanunuliwa hivyo kinachosubiliwa ni siku hiyo kufika’’alisema Farida na kuongeza.

“ Vile vile siku hiyo kutakuwa na burudani nyingi kutoka kwa wasanii wakali hapa mchini kwa sasa hatutawataja
tumepanga kuwafanyia sapraz mashabiki wetu hivyo cha msingi tujichange siku hiyo ikifika tujazake kwa wingi sisi kama kamata tumejipanga vizuri na ahadi yetu kwenu hatutawaangusha na hamta jutia kuja” alisema Farida
Image may contain: 3 people, people smiling, people standing, shoes and text 
Baadhi ya Washiriki wa Miss Morogoro 2018

Image may contain: 3 people, including Farida Mees Matlou, people smiling, people standing and text 
 Waratibu wa shindano la Miss Morogoro 2018 kutoka kulia ni Ester Medson, Farida Kulususu na Doroth Mtenga.
Image may contain: 1 person, night and outdoor

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE