Tamasha la Fiesta, ndilo Tamasha linalotambulika kuwa ni tamasha kubwa la burudani nchini Tanzania. Katika msimu wa Fiesta , mambo mengu huandamana na tukio hili kubwa la kihistoria. Lakini katika Fiesta ya mwaka jana, lilitokea tukio la aina yake na kuwaacha wasanii wakichanganyikiwa. Ebu tazama hii video hapa chini
Maofisa wa Chadema wazuiliwa kisafiri, Polisi wasema
-
BRENDA Rupia Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa Chama cha Demokrasia
na Maendeleo (Chadema),...
8 hours ago
0 MAONI YAKO:
Post a Comment