Brand New Song kutoka kwake mwanamuziki Strevol toka mkoani Morogoro akimshirikisha MR. Blue toka jijini Dar. Wimbo umefanyika katika studi za Kwanza Records chini ya Producer Vennt Skillz
CCM hatukupenda uchaguzi wa Z'bar ufutwe - Kikwete
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Dkt Jakaya
Mrisho Kikwete ametangaza rasmi kuachia kiti hicho kabla ya mwezi
Februari mwakani, huku akisema CCM imesikitishwa na uamuzi wa ZEC kufuta
uchag…Read More
Tusidharauliane - Rich Mavoko
Rich
Mavoko amesema ni rahisi sana kwa watu walio nje ya muziki kuanza
kuongea maneno pasipo kujua ni mambo gani ambayo wao kama wasanii
wanakutana nayo kuhusiana na muziki huo na tasnia nzima ya muziki,
an…Read More
New Audio| Saddy ft Squeezer - Usiniite
Anaitwa saddy, ni mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya toka mkoani Morogoro Tanzania. Ameachia wimbo wake wa kwanza kabisa unaoitwa Usiniite akimshirikisha Squeezer. Wimbo umefanyika katika studio za Kwanzan…Read More
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
ReplyDelete