Naibu
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) akimkabidhi cheti
cha pongezi Mkurugenzi Msaidizi wa Kuzuia Ujangili, Wizara ya Maliasili
na Utalii, Bw.Robert Mande (kulia) kwa kushiriki katika utoaji mafunzo
ya kukabiliana na ujangili na usafirishaji haramu wa mazao ya
wanyamapori na mimea ndani na nje ya Bara la Afrika uliofanyika leo
jijini Dar es Salaam.
Naibu
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) akifunga mafunzo
ya siku tano ya kukabiliana na ujangili na usafirishaji haramu wa mazao
ya wanyamapori na mimea ndani na nje ya Bara la Afrika uliofanyika leo
jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi
Msaidizi wa Kuzuia Ujangili, Wizara ya Maliasili na Utalii, Bw.Robert
Mande (kulia) akizungumza na washiriki wa mafunzo ya kukabiliana na
ujangili na usafirishaji haramu wa mazao ya wanyamapori na mimea ndani
na nje ya Bara la Afrika uliofanyika leo jijini Dar es Salaam.
Naibu
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) akimkabidhi cheti
cha pongezi Afisa Uwajibikaji na Mkurugenzi wa Haki wa Taasisi ya Grace
Farm Foundation Rob Khattabi (kulia)kwa kushiriki katika utoaji mafunzo
ya kukabiliana na ujangili na usafirishaji haramu wa mazao ya
wanyamapori na mimea ndani na nje ya Bara la Afrika uliofanyika leo
jijini Dar es Salaam. Anayeshuhudia ni Mkurugenzi Msaidizi wa Kuzuia
Ujangili, Wizara ya Maliasili na Utalii, Bw.Robert Mande (kushoto)
Naibu
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) (katikati
waliokaa) katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa mafunzo ya
kukabiliana na ujangili na usafirishaji haramu wa mazao ya wanyamapori
na mimea ndani na nje ya Bara la Afrika uliofanyika leo jijini Dar es
Salaam.
Baadhi
ya washiriki wa mafunzo ya siku tano ya kukabiliana na ujangili na
usafirishaji haramu wa mazao ya wanyamapori na mimea ndani na nje ya
Bara la Afrika wakimsikiliza Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe.
Mary Masanja (Mb) (hayupo pichani)akifunga mafunzo hayo leo jijini Dar
es Salaam.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment