March 31, 2012

Baada ya juzi CHIDI BENZ kukubali kwamba
pamoja na AFANDE SELLE kumdis, yeye bado
yuko tayari kufanya nae kolabo ambayo alipanga
kufanya na Afande wiki moja au mbili kabla hajamdis,
Afande nae ametoa sentensi ya jibu kutokana na alichosema
ChidiBeenz.
Afande amesema “yeah mi niko tayari, niko pamoja nae Chidi
anajua hilo, na hiyo kitu alishaniambia kitambo tukapanga na
mimi bila shaka matatizo yaliyotokea ni mambo ya kupita lakini
mimi wimbo wake hata kesho nasububiri beat niandike tufanye
kitu kilichobora zaidi nafikiri itakua na maana kuliko malumbano
malumbano yanayoendelea haya sio mazuri, sina beef nae”
Chanzo cha beef yao ni baada ya Afande kuhojiwa East Africa
Radio na kufananisha kuondoka kwa Ditto watu pori kwenda
La Familia, sawa na kuondoka Manchester United na kwenda
timu ndogo kama Bolton, maneno ambayo yalimkasirisha sana Chidi Benz

Related Posts:

  • Alikiba kuhamia London   Msanii wa Bongo Fleva Ali Kiba  ambae anafanya vizuri kwa sasa kupitia wimbo wake wa Aje amepata nafasi ya kushiriki katika tamasha kubwa la mitindo huko london Kupitia ukurasa wake wa Instagram Ali Kiba am… Read More
  • Live Match : Barcelona VS Osasuna   Ligi Kuu nchini Ispania inaendelea tena muda huu ambayo inawakutanisha Barcelona wanapambana dhidi ya  Osasuna. Fwatilia hapa uapate kujua matokeo ya mchezo huo.        … Read More
  • Chibu Perfume sasa inapatikana Marekani   Diamond Platnum mwanamuziki kutoka Afrika Mashariki nchini Tanzania, ameonekana kuanza vema huku akiwa na uchu wa mafanikio katika bidhaa yake mpya aliyoiingiza sokoni wiki hii ya manukato. Kwa sasa Chibu Perfume … Read More
  • Video: Diamond ndani ya XXL ya Clouds Fm, aizungumzia Perfume yake   Tumekuletea Interview ya Diamond Platnum aliyoifanya ndani ya kipindi cha XXL cha Clouds Fm kubwa zaidi kaizungumzia Perfume yake iliyoingia sokoni hivi karibuni. fwatilia hapa interview nzima hapa  &… Read More
  • Live Match: Arsenal VS Leicester City   Fwatilia hapa mpambano wa kukata na shoka wa ligi kuu Uingereza unaowakutanisha mabingwa wa ligi hiyo  Leicester City dhidi ya Arsenal FC. Mpambano wa leo Arsenal wanawakaribisha Leicester   &nbs… Read More

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE