March 29, 2012

Hip Hop artist kutoka Music lab (M lab ) mkali
One the incredible leo Jumatano tarehe 28/03/2012
ameachia ngoma mpya inayoitwa “ Young & Gifted
Black ngoma iliyorekodiwa kwenye studio za Music
Lab chini ya Mtayarishaji wa mapigo ya muziki Duke,
Anategemea kudrop album yake June 2012 album atakayoita
“ Soga za Mzawa” itakua na ngoma kama “soga za mzawa”
ambayo imebeba jina la album, 40 bars na chap chap hizo ni
baadhi ya ngoma ambazo zitakuwepo kwenye album hiyo ya
 One The Incredible itakua na idadi ya ngoma 24 Alisema
One The Incredible.

Wasanii watakaokuwepo katika album
hiyo ni pamoja na Grace Matata, Fid Q na Hashim Dogo
ambae atapenda sana akiwepo katika album hiyo ingawa
bado hajarekodi nae lakini anaanza kufanya nae mazungumzo
kwa ajili ngoma moja ambayo itakuwepo katika album hiyo.

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE