June 12, 2012



Malkia wa mipasho nchini Khadija Kopa ameamua kuzielekeza hasira na uchungu wa kuibiwa gari lake kwa kutunga wimbo kumshushua mwizi wa gari hilo.
Wimbo huo uitwao ‘Mjini Chuo Kikuu’ mwanzo mwisho umeandikwa kumponda kibaka huyo aliyemharibia mipango yake ya kifedha kwa kumlazimisha kufikiria kununua gari jingine.
Gari la Khadija Kopa lenye thamani ya shilingi milioni 15 liliibiwa mwezi uliopita.
Jumla ya magari manne yaliibiwa likiwemo gari la msanii wa kizazi kipya Nyandu Tozi maarufu zamani kwa jina la Dogo Hamidu aina ya Vits ya silver ya 2002 T698 BUH.
Magari hayo yaliibiwa siku moja mahali yalipokuwa yameegeshwa karibu na shule ya Mwananyamala B.
Kwa mujibu wa tovuti ya Milard Ayo, mpaka sasa magari yote hayajapatikana ambapo magari manne yaliyoibwa kati ya 18 yaliyokuepo kwenye eneo hilo.

Related Posts:

  • AY: awashauri Diamond na Alikiba Rapper Ambwene Yesayah maarufu kama AY ametoa ushauri kwa Diamond na Alikiba kuweka tofauti zao pembeni na kufanya muziki pamoja. AY ametoa ushauri huo baada ya kuulizwa na shabiki kupitia Kikaangoni cha EATV aliyetaka… Read More
  • TFF yamtangaza Boniface Mkwasa kuwa kocha mpya wa Taifa Stars Shirikisho la soka nchini, TFF, Jumanne hii limemtangaza rasmi Boniface Charles Mkwasa kuwa kocha mkuu wa Taifa Stars. Mkwasa atasaidiwa na Hemed Morocco kutoka Zanzibar. Taarifa hiyo imetolewa na Rais wa TF… Read More
  • Ainea kuja na Juddy wiki hii     Mwanamuziki wa kizazi kipya toka mkoani Dodoma Aine wa sinampango naye, yupo mbioni kuachia ngoma yake mpya ya Juddy aliyomshirikisha Dullayo. Akitia Story na blog hii, Ainea amesema ameamua kuja na Dullayo k… Read More
  • Happy Birth day to u Zinedine Zidane   Zinedine Zidane a.k.a Zizou amezaliwa June 23 mwaka 1972 na hadi leo amefikisha miaka 43. Zidane ameoa mwaka 1994 mke wake anaitwa Veronique Zidane. Hadi leo wana watoto wanne ambao ni Enzo Fernandez, Theo Zidane,… Read More
  • Mzee Yusuph afichua siri ya mchezo Mfalme wa Taarab nchini na kiongozi wa Jahazi Modern Taarab, Mzee Yusuph, amesema sababu za bendi yake kupendwa ni utunzi mzuri wa nyimbo zao. Mzee Yusuph ambaye June 13 kwenye tuzo za muziki za Kilima… Read More

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE