Utadhani ni baba
anampa kichapo mwanae lakn sio hvyo huyo n msanii akipewa kichapo na
producer wake, jina la producer na Deey Classic anafanyia kazi zake
kwenye studio ya Rock Town Record iliyopo jijini Mwanza maeneo ya
Natta, na msanii anaitwa Young Killer kwa jina lingne anaitwa Lily-K.
Mziki kazi kweli kweli najua cku dogo akiwa na jina hatolisahau 2kio hli.
Mziki kazi kweli kweli najua cku dogo akiwa na jina hatolisahau 2kio hli.
Habari na picha:
kwa hissani ya petter Isuti Mioyo mwanza
0 MAONI YAKO:
Post a Comment