Mwimbaji wa mziki wa bongo freva toka moro criss wamarya ameahidi kuupeleka wimbo wake Media Wiki ijayo. Criss amesema baada ya kuifanyia vedeo na kupata ushauri wa wadau mbalimbali sas muda umefika.
" kaka nimeon sasa ni muda muafaka wa kuiachia hii ngoma kwani maoni y watu wengi wamenishauri hivyo pia nawe nashkuru kwa ushauri wako" amesema criss wa Marya alipokuwz anazungumz na mdau mmoja wa mziki mkoani Morogoro julikanaye kama Taita la mzumbe. nilipojalibu kumhoji amesema i kweli na pia " nilikaa na salim Chuma Aliyekuwa meneja wangu, pia amefurahia video na ameahidi kun sapot kwani ssa ni poa " ameniambia criss.
Pia anaomba sapota kwa wadau wa mziki huu waweze kumfikisha mbali amekili kwa kusema kwani mziki bila wadau hauwezi kukufikisha malengo.
Big up criss wamarya
Habari hii ni kwa hissani ya Gulam Mhedu
0 MAONI YAKO:
Post a Comment