NI USIKU WA JUMAA TANO YA TAREHE 18 JULY 2012, NDANI YA 4 STAR SELENGETI FIESTA SUPA NYOTA KUUDONDOSHA MZIG O MZIMA NDANI YA 4 STAR.
BAADHI YA PICHA ZA MATUKIO
Mwenyekiti
wa Kamati ya maandalizi ya Tamasha la Serengeti Fiesta 2012 Bw.
Sebasttian Maganga akitangaza washindi katika shindano la Serengeti
Fiesta Super Nyota lililomalizika usiku huu kwenye klabu ya Vibes jijini
Mbeya.
JINSI SIMU YA MKONONI INAVYOSAIDIA WAGONJWA WA KISUKARI
Kwa mara ya kwanza wagonjwa wa kisukari nchini Senegal wameanza
kupokea ujumbe wa simu ukiwataka kufunga kwa kipindi cha kabla, wakati
na baada ya mwezi wa Ramadhan.
Senegal imekuwa nchi ya kwanza kuanza kutumia …Read More
DIVA AFUNGUKA KUHUSU KAMPUNI YAKE NA ALIYEMZULUMU PESA
Follow @divaswildevents for Events In
Dar..Mwanza, Mtwara and Morogoro..Or Arusha na Tanga soon tutakufikia. I
am The President od Divas Wild Events and all we do is kuandaa events
with Entertainme…Read More
HII NI MAALUM KWA WANAWAKE WANAO TAKA KUOLEWA
Hata kama utapingana na mimi, lakini ukweli utabaki pale pale; Kila
jinsia inahitaji sana kuungana na jinsia nyingine katika tendo muhimu na
la kihistoria katika maisha liitwalo ndoa! Yes, huu ni ukweli ambao upo…Read More
OLIVER MTUKUZI SASA NI DAKTARI
Mwanamziki mkongwe wa kimataifa nchini Zimbabwe Oliver Mtukudzi
ametunukiwa tuzo ya tatu iliyobeba heshima ya udaktari kutokana na kuwa
mshauri na balozi mzuri wa muziki.
Mwaka 2003 alitunukiwa tuzo kubwa ya hesh…Read More
Tandika jamvi lako na Meridianbet hapa
-
Je unajua kuwa unaweza kumaliza Wikendi yako kirahisi sana ukiwa na
Meridianbet kwani ODDS...
The post Tandika jamvi lako na Meridianbet hapa first app...
0 MAONI YAKO:
Post a Comment