

MAALIM SEIF AKIMUOMBEA DUA BI KIDUDE
.Licha ya kuwa ametoa mchango mkubwa wa sanaa katika tasnia ya muziki hapa nchini, wasanii na
waandaaji wa matamasha mbali mbali waliokuwa wakimtumia wamemtelekeza msanii maarufu Bi Fatma Binti Baraka (Bi. Kidude) kutokana na hali yake ya kuumwa, ambapo hadi sasa yupo kitandani na
hajiwezi.
Ankal naomba uwafikishie ujumbe huu wasanii wote na waandaaji wa matamasha waliokuwa
wakifanya kazi na bi Kidude kwani anaumwa sana.
Imetoka kwa wadau katika kitongoji cha zanzibar!
Wasanii wote wa tasnia ya mziki kwa umaja wenu tunawaomba mchukue muda huu katika kumsaidi ki hali na mali bi kidude ili aweze kurejea katika hali yke ya kawaida.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment