Ray C ameamua kufunguka na kuweka wazi kuwa hakuja Tanzania kutafuta
Bwana wa Kuolewa nae kama watu wanavyosema mitaani...amefunguka na
kusema kuwa amerudi Dar kwa ajili ya kupumzika na kazi pia . Ray C
alihamia nchini Kenya baada ya kuona ana Support kubwa ya Mashabiki
kuliko Tanzania ..Hivi karibu ataachia wimbo wake mpya unaokwenda kwa
jina la Moyo Waniuma.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment