Wimbo
mpya wa Ben Paul ,Pete uliotoka August 2012 utafanyiwa video South
Africa au Kenya. Ben Paul amefunguka kuwa ana Plan A na Plan B ya video
hii. Plan A Ni kufanya video na Ogopa wa Kenya na Plan B ni kufanya
video na Adam Kutoka Tanzania ila video watakwenda kufanya nchini South
Africa kama alivyo fanya Ommy Dimpoz.Skilizia Updates zaidi kuhusu hichi kichupa kupitia Power Jams Ya East Africa Radio.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment