October 01, 2012

                          Dyna  akiingia  jukwaani  FIESTA  2012  Bhaass   Morogoro

Kufuatia  kutajwa  tarehe  rasmi  ya SERENGETI  FIESTA  2012 Dar  es  salaam  ambayo  itahudhuliwa  na  mwana  HIP  HOP  toka  U.S.A Rick  Rozzy,  wasanii  watakaofanya  show  siku  hiyo,  wamehaidi  mambo  makubwa  zaidi.
 Akizungumza  na  Ubalozinirespect.blogspot.com,  mkali  wa  muziki  wa  bongo  Freva  Toka  mji  kasoro  mwana  dada  Mwanaisha  Saidi  Nyange almaarufu  kama  Dayna  Nynge (mkali wao) Amesema   mashabiki  watakaohudhuria  siku  hiyo  wataraji  makubwa  zaidi  ya  yale  yaliyotangulia. Dayna  amesema  yeye  pamoja  na  kundi  lake  la wakali crasic,  wamejiandaa  vya kutosha kwa  ajili  ya  kuwapa  mashabiki  ladha  zaidi  ya  kile  wanachokitarji
   " Nafanya mazoezi  ya kutosha  ili  nisiharibu,  nataka  kuwapa mashabiki  wangu  burudani  zaidi   ya  ile wanachotarajia,  ni  kazi  nzito  lakini  kwa  ushirikiano  na  wacheza  show  wangu wakali classic,  na  mashabiki  kwa  dua  zao   itawezekana", Amesema Dayna  mwisho  akimaliza  na  kusem  Bhaaaaassssss!!!!!!!!!!!!.

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE