![]() |
Elemotho |
Ni Elemotho
Gaalelekwa ndio mshindi wa tuzo za RFI France 24 Discoveries za
mwaka 2012 ambazo msanii toka hapa Nyumbani Lameck Ditto naye alishiriki. Msanii huyu kutoka Namibia ambaye kwa sasa yupo Ujerumani
kikazi Silvia
Sala alisema wamepokea habari hizi Jumanne na wamefurahii sana na
kushkuru mashabiki wa Namibia.Leo kupitia Power Jams ya East Africa
Radio,Msanii wa bongo fleva aliyekuwepo kwenye tuzo hizo aliongea
nakusema Elemotho ndio mshindi na msanii huyo anakazi nzuri sana ndio
maana ameshinda na ana stahili ushindi
Elemotho Ni mwandishi Wa nyimbo na mwanamuziki.
Kwa upande wake msanii Ditto toka Tanzania aliandika katika ukurasa wake wa facebook, akimpongeza huku aki aidi kujipanga zaidi..
Winner
Wa RFI Discoveries Award ni Elemotho From Namibia...........
Amestahili... Nami pia namshukuru Mungu Kwa nafasi niliyopata ambayo
imenifanya niendelee kuamini nitayafikia malengo yangu ktk african Music
miaka michache ijayo..... ASANTENI KWA KUNIPIGIA KURA........
0 MAONI YAKO:
Post a Comment