Kati ya wasanii wengi wa
bongo fleva na wa Movie ambao wamefanikiwa kupata watoto ni pamoja na Calvin Ponela maarufu kama Mc Calvin,Amabye alikuwa ni mshiliki wa Maisha Plus napia ni Mtangazaji wa Radio Planet Fm Mjini Morogoro na
huyu ndie binti yake aitwaye NAOMI ambaye kwa kumtazama tu ni Cavin
mtupu.
Hongera sana kwa kuwa
baba,ila mtoto wa kike huyo so jiandae kwa ulinzi mkali na kukimbizana
na vijana hahahahahaha.Ila toto la kweli sana.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment