Hatimaye mchana wa leo, safari ya kimaisha na makazi ya msanii wa filamu na bongo freva Hussein Ramadhani Shalo milionea ilifikia katika hatutua ya mwisho baada ya kupumzishwa katika makazi yake ya milele.


Jeneza la mwili wa marehemu likiwekwa kwa ajili ya ibada


Ummati wa waombolezaji ukielekea makabulini

Katibu mwnezi wa CCM nape Nnauye akitoa risala kwa waombolezaji
Hay ndiyo makazi yake ya milele
Picha kwa hissani ya thecoice, djfetty na djchoka
Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment