November 09, 2012

Mkali  wa  muziki  wa  bongo,  Ally  Baucha  jumaapili  hii  ataitambulisha  video  yake  mpya  ya kelele aliyomshirikisha  Ally  Kiba
  Akiandika  katika  a/c  yake  ya  facebook  Baucha  amesema  kwamba, uzinduzi  utafanyika  siku  ya  jumaapili  ndani  ya  ukumbi  wa Maisha  uliopo  jijini  Dar es salaam
           
  ''YAAAHHH BAADA YA LEO KUITOA RASMI KATIKA TV ZOTE BONGO PIA J.PILI HII NITAITAMBULISHA TENA NDANI YA MAISHA CLUB USIKOSEEEE''.

 Ameandika  mkali  huyo  ambaye  pia  anaimba  miondoko  yenye  asili  ya  Kihindi.

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE