Essau Mgimba
Leo hii mkali wa media toka zero plannet pande za Mbeya anatimiza umri wake wa kuzaliwa. Kwa niaba ya wakali wa media, Ubalozini camp na ubalozini respect napenda kukutakia kheri ya maisha mema na yenye baraka tele. mungu akupe umri mrefu wenye mafanikio.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment