Dayna Nyange katika poz
Latest info kutoka kwa msanii huyu ni kwamba baada ya kukutana naye aliweza kufunguka na kuelezea kwamba hisia zake katika game la muziki ilikuwa aje kuimba muziki wa Hip Hop kwani msanii kutoka marekani almaarfu kama Eve ndiye alimfanya kupelekea kupenda kazi za Hip Hop lakini alishindikana kwani alijikuta akiimba ngoma za kawaida baada ya kupata ushauri kutoka kwa marafiki zake.Baada ya kumaliza kusema hivyo pia aliweza kusema kwamba soon anatarajia kufanya suprise kwa mashabiki wake katika video mpya inayokuja lakini akuweza kuitaja ila alipenda kuwambia mashabiki wake mkao wa ujio mpya wa Dyna.
Kwa hissani ya dj Fetty
0 MAONI YAKO:
Post a Comment