
LEO ni siku ya kuzalowa kwa msanii wa Hip Hop toka mkoani Morogoro, Stamina a.k.a kabwela. Amesema hana cha kuwalipa mashabiki wake zaidi ya kuwapa zawadi maalum kwenu. Ni wimbo maalum kama zawadi kwenu. Iskilize hapa
0 MAONI YAKO:
Post a Comment