MSANII Mkongwe wa Muziki wa bongofleva nchini Seleman Msindi"Afande Sele" a.k.a Dume la Simba Mwishoni mwa wiki iliyopita alimshukuru Mungu kwa kumjali kupata mtoto wa kike aitwaye Asante sanaa[miezi 6]
Katika shukrani zake hizo kwa mweny
ezi Mungu Afande Sela aliama kufanya ibada fumbi nyumbani kwake kwa kushirikiana na familia yake marafiki, na majirani zake anaoishi nao maeneo ya Mafiga mkoani hapa.
Baada ya dua hilo Afande Sela alipiga picha ya pamoja na familia yake hiyo,kutoka kushoto ni mtoto mkubwa wa msanii huyo aiitwa Tunda,[10] aliyepakatwa ni mtoto wa pili wa Afande Sele ambaye amembatiza jina la Asante sanaa,anayefuatia ni baba wa familia hiyo Afande Sele na kulia ni Mama wa familia hiyo Asha Msindi."Mama Tunda'
Akizungumza na mwandishi wa habari hizi Afande Sele ambaye hadi sasa anashikilia taji la Mfalme wa Rhymes nchi alilolitwa mwaka 2004 ndani ya Ukumbi wa Diamond jijini Dar es salaam. anamshukuru mungu kwa kuzidi kumpa baraka za watoto pamoja na mafanikio yake ya kimuziki,hivo ameamau kumshukuru Mungu kwa kufanya ibada maarumu ya kumshukuru.
Shindano hilo la Mkali wa Rhymes nchini ambalo lilishuhudia 'live' na mwandishi wa habari hizi liliandaliwa na kampuni bora nchini ya Global Publishers,inayochapisha magazeti ya Uwazi,ijumaa,Risasi,ljumaawikienda,Aman na Champion.
Akizungumza na mwandishi wa habari hizi aFande Sela alisema kwamba anamshukuru Mungu kumjalia kupata mtoto wa kike hivi karibuni.
Alipoulizwa ni kwani nini alimpa jina la Asante sanaa mtoto wake huyo alisema" Kwamba alimu kumta jina hilo kwa lengo la kuienzi kazi yake hiyo ya sanaa iliyompa mafanikio makumbwa miaka ya 2000.
" Mimi nilikuwa mwanajeshi niliamu kuacha kazi hiyo na kuingia kwenye sanaa na kupata mafaniukio makubwa hivyo kwa kulitambua hili niliamu kumbatIza jina la Asante sanaa mtoto wangu huyu wa pili"alisema Afande Sele

0 MAONI YAKO:
Post a Comment