Jackline Wolper mwanadada wa Bongo Movie
jana usiku aliwaalika wadau wengi katika kusheherekea siku yake ya
kuzaliwa iliyofanyika katika ukumbi wa Synergy Lounge uliopo Oysterbay,
Wadau embu tuone mambo yalivyokuwa..
Barafu na Richie Mtambalike.
Juma Chikoka(Chopa) akiwa na mdau Dulla.
Baadhi ya wanachama wa Bongo Movie wakiwa na furaha..
The Greastest(wa katikati),Dr.Cheni wa na Chid Benzi mwanamuziki wa kizazi kipya..
Maya..
Irene Uwoya.
Dr. Cheni kwenye pozi.
Shamsha Ford.
Jackline Wolper akiwa na Mke wa Mtitu William..
Ino Bachard na Lyana Kinyoraa.
Mtitu akiwa na mkewe..
Bata zikiendelea.
Petiman wakuache
Mambo yakizidi kupamba moto.
Sinta kam hayupo!!!
Monalisa ...
Bata la kufa mtu....
Mauuuuuuuuuuuaaa
Wadau wakisakata rumba...
Hii ndiyo ile Cake yetu sasa.

Misosi ya kumwaga..
Gelly wa Rymes ndni ya nyumba
Kijana wangu Inno Bacahard akiwa na Mariam Ismail..
Bataaaaaaaaaaaaaa..
Kalunde Band walitoa burudani ya kufa mtu..
Kisaaaaaaaaanga Chief..
0 MAONI YAKO:
Post a Comment