HII NI PICHA YA WIMBO WA KOBA JR AKIWA NA KOBA MC
Msanii toka mjini Morogoro mdogo wake na KOBA Mc anayefahamika kwa jina la Koba Jr, anakuja na wimbo wake wa unanionea aliomshirikisha kaka yeke kipenzi Koba Mc
Akizungumza nami Koba Jr amesema anakuja kufanya mabadiliko katika game na kuwapmba watanzania wampokee na kumpa mchango mkubwa wa kimawazo.

0 MAONI YAKO:
Post a Comment