![]() |
NASSA |
Mkali toka mji kasoro bahari Morogoro, Nassib Ally Mahitana Nassa amefunguka kwa wakongwe ndani ya muziki wa kizazi kipya kuwa wajiandae na mapinduzi makubwa yanayotarajiwa kuletwa na chipukizi wa muziki huo katika mwaka ujao
Nassa ambaye kwa sasa anatamba na wimbo wake wa ‘Kila Nabii’ iliyolekodiwa ndani ya studio Mahewa records chini ya producer Wille
![]() |
NASSA AKIONESHA ALAMA YA USHINDI |
“Unajua nilichokiona kwenye gemu mwaka huu ni tabia ya wasanii wakubwa kukopi aidia ya nyimbo za wasanii wachanga na kuzitumia, hili ni jambo baya lakini katika mwaka ujao naamini hakutakuwa na uwezekano wa wao kufanya hivyo” alisema Nassa.
Pia Nassa amewashuru mashabiki wa mziki kwa kumpokea vizuri na kumsapot katika nyimbo alizokuja nazo ambazo ni Mastaa, Nivumile, na wimbo unaotamba sasa wa kila nabii
Uskilize hapa
0 MAONI YAKO:
Post a Comment