Queen Esthon ni binti mdogo kabisa ambaye anadai amekuja kufanya mapinduzi ya kweli katika mziki wa bongo freva kwa upande wa wanawake
Queen ambaye jina la kisanii anafahamika kama Lady Queen ameachia wimbo wake unaokwenda kwa jina la Lonly ambao anaomba mumpokee. Skiliza na download hapa chini
Song_____Lonly
Artist_____Lady Queen
Product___Roccana Bassement
Pruduce__Rash Don
Sikiliza na Download hapa
0 MAONI YAKO:
Post a Comment