Mtayarishaji wa Power Brackfast ya clouds fm Jimmy Jamm akiwa tayari kwa safari
Mwendo wa bata tu wadau wa clouds fm wtukila bata kijijini kisaki
Hapa tukiwa TAZARA kwa ajili ya safari
Moja ya vivutio vya asili kisima cha maji ya moto ambayo hayajachemshwa ni maajabu ya Tanzania
Daud wa kota akiwa na Sebastian Maganga safari Moro DMM
Ahmad Machaku na Dee andy

Swala akionekana ndani ya mbuga ya Selou siku ya DMM bata kwebda bata kufika bata kurudi
Ahmadi Machaku na Brenda Tesha kushoto ni Ndeanka
Daga kula bata kaka
0 MAONI YAKO:
Post a Comment