January 21, 2013

From The Bottom Of My Heart... Dear My fans(Team Diva) Napenda chukua muda huu wa saa 2:36am ku share na kuwashukuru Wote Mnaonipenda on how Appreciative am to yall Team Diva,Friends,loved ones............nawapenda sana. Safari yangu ya Miaka 4 Katika Radio imenifunza so much. given me faith ya believing na kuvaa vitu ambavyo miaka 4 iliopita nisingeweza Kuvaa Moyo ninaouvaa sasa Hivi.....Man am strong Sana but yote sababu yako wewe ambae unakaaga masaa 2 usiku kunisikiliza and making me number 1.......................Or Lord i love you.Damn u guys are so Special nawappenda sana Ahsante kwa Kuichagua Cloudsfm na Ahsante kwa Kunisikiliza.May God bless you sana. Ile Kunitaja tu ni BLESSING TO ME,i dont take for granted hio kitu asiwadanganye mtu.Hio Ni zawadi tosha and thank you Thank you Far too kind. Thank you for Every Tweet U send naona sema nyingi najitahidi though Replying all but hata kama sijawahi jibu Keep Tweeting who knows kuna siku Ntajibu.facebook ofcoz u too Lil Angels love ya all ingawa sometimes sometimes kuna some goofy Eish and some Kid Corny shit inanifanya niseme what THE HECK But siwasahau na nawapenda all my facebook fans and thanks for Making My Page Number One Page in Tanzania as THE BEST FEMALE RADIO PERSONALITY Kuwa na LIKES NYINGI NA FOLLOWERS WENGI ON TWITTEr #VERY APPRECIATIVE. DIVA GIVING FOR CHARITY IMENIPA MAFANIKIO MAKUBWA SANA YA KUONA Tunaweza badilisha Maisha pamoja.Deborah amebakiza Miezi mitatu amalize shule,Sorry for her LOSS Na As a Mother nilieuvaa moyo niko nae bado na nitakuwa nae mpaka Mwisho Inshaallah Mungu atuongoze na Kuendelea kuwa na Moyo wa Kusaidiana as in kutoa ni Moyo na sio Utajiri. Nishawahi kuona watu wanalia kisa wameniona na nililia as well kisa nimewaona wao wamelia kisa wameniona,love for children,love for other People around menifanya niwapende kila Nukta ya Uhai wangu as A Diva...............................................Ahsanteni Kwa Machozi yenu.Mapenzi nipatayo ni Makubwa sana kusema ukweli kuliko hate nipatayo kwa wenye chuki Bure. Nasema Inshaallah kwa kila kheri na shari. Ahsanteni for kuwa Mashabiki nilikuwa Shabiki Pia i Understand The Feeling......Thank You Thank you ,Far too kind. Trust Me nasikia Story Nzuri Nyingi nambaya Kuhusu Mimi lakini napenda sema Thank you kwa kupata muda wa kukaa chini na kuniongelea kwa baya na zuri.To me thats BLESSING. Shukrani ya That kwa CLOUDS MEDIA GROUP......................THANK YOU YOU MADE ME. My Program Manager Sebastian Maganga,My Boss Joe,My Mentor My PAPI Ruge Mutahaba.Captain G.Habash u mean the world to meB12 and .Mwanafa U The Reason I Behave lol.u more than a friend Ubarikiwe sana,Mh.Halima Mdee ilove you for your courage kila wakati na list ni ndefu...................Soudy Brown Gossip Cop,Hata sisemi Soudy you My Guardian Angel,My Team Makorokocho1love.....TEAM DIVA Oyoooooo 2013 Remember said it #MONEYTEAM kama sijakutaja Nisamehe sana Jamani next time maana naanza ishiwa maneno sasa ila Moyoni wote nisiowataja Mna Special Place in My heart. LAST BUT NOT LEAST SPECIAL THANKS KWA ADAM MCHOMVU...........................The Girl you named DIVA Anakushukuru sana. Forgive My ALTER EGO Sometimes guys...you know In Every Hero In this Planet Earth There's a LITO Bit Monster In you all. Mlionikosea wote nimewasamehe kabisa kabisa sina ROOM YA CHUKI MOYONI MWANGU........Namshukuru sana SALAMA J. Taught Me that. BASI SAWA............................Thanks and Kisses yours lovely Diva

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE