Lady Queen
Msanii wa muziki wa kizazi kipya toka Dar Es Salaam anayefahamika kwa jina la Lady Queen amesema anatamani kufanya wimbo mmoja na msanii wa muziki huwo toka mkoani Morogoro mwana dada Dayna Nyange.
Akizungumza nami kwa njia ya simu Queen amesema wimbo wake wa sasa unaoitwa Lonly tayari amesambaza sehemhu kubwa japo ni mgeni wa mambo hayo
'' Wasnii wa kike nnaovutiwa nao kufanya kazi kwanza ni Dadaangu Dayna Nyange wa n ivute kwako, kiukweli nimevutiwa sana na uimbaji wa dayna, anajitahidi na nimesikiliza nyimbo zake nyingi ana sauti nzuri naamini nikifanya nae wimbo hatoniangusha''. Amesema Queen licha ya kusema anavutiwa na wasanii wengine kama Lady Jay dee

Dayna moja ya pozi zake
0 MAONI YAKO:
Post a Comment