
Leo Th 13/ JANWARY 2013, Mdau wetu tok ubalozini respect Ndugu Gulam Mhedu, Anatimiza umri wake wa kuzaliwa.
Haya ni maneno yake kwenu
" LEO tr 13 Jan ni tarehe yangu ya kuzaliwa
hivyo karibuni home kwa tafrija fupi! nawapenda sana bila nyinyi kichwa
hiki kisingekuwa na furaha!"
Blog hii inakutakia kheri na maisha mema na yenye baraka tele
0 MAONI YAKO:
Post a Comment