January 22, 2013

Msani wa muziki wa Hip Hop Tanzania na mwanaharakati wa Lugha ya Kiswahili NASH MC ameweka sokoni wimbo wake mpya unaoitwa BBM. Akiwasiliana nami kwa njia ya sms NASH amesema A meamua kuuza ili aweze kupata nguvu zaidi katika harakati zake Hii ndiyo meseji ya Nash na maelekezo ya kununua BBM NUNUA WIMBO MPYA WA NASH MC UITWAO,B.B.M (BETI BORA MILELE) KWA SHILINGI 1000/= TU,TUMA PESA KUPITIA NAMBA 0713 900 994 AU 0769 522 346 NA BAADA YA KUTUMA HELA ANDIKA UJUMBE MFUPI WENYE BARUA PEPE YAKO(E MAIL)!! NA UTATUMIWA WIMBO HUO Blog hii inawaomba wana harakati na wapenda maendeleo ya wasanii wetu muweze kununua wimbo huwo ili kupeleka maendeleo kwa waanii wetu

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE