
Msanii wa muziki wa kizazi kipya mwana dada Dayna Nyange mkali wao toka kundi la wakali crassic. anataraji kuwapelekea wakazi wa Mtwara wimbo wake wa Leo. Dayna atafanya onesho katika ukumbi wa NEW MAISHA CLUB Mkoani Mtwara usiku wa wapenda nao. Pia ataimba nyimbo zake zilizopita kama Mafungu ya nyanya, fimbo ya mapenzi, nivute kwako huku akiutambulisha rasmi wimbo wake mpya wa Leo aliomshirikisha Mr: Blue
0 MAONI YAKO:
Post a Comment