Uchukuaji wa picha za fiamu ya World of Benefit unaendelea katika maeneo tofauti tofauti ndani ya jiji la Dare es Salaam ambapo wiki hii scene za hosptali zilipigwa.
|
Filamu hiyo imetokana na stori iliyoandikwa na Mwandishi mahiri wa
Riwaya hapa nchini, Hamees Suba iliyokuwa ikijulikana kwa jina hilohilo
la World of Benefit.
Filamu inashutiwa’ chini ya jopo la madairekta wakongwe watatu ambao ni Seles Mapunda (DoD),
Selemani Mkangara (Striker) na Director kutoka Bollywood, India, Samir Srivastava!
Selemani Mkangara (Striker) na Director kutoka Bollywood, India, Samir Srivastava!
Mtayarishaji wa filamu hiyo, Hamees Suba ameeleza
kwamba stori iliyomo ndani ya muvi hiyo inazungumzia mapenzi, nguvu ya pesa na utoto wa mjini.
Upande wa kamera, taa na sauti umesimamiwa na ‘cruew’ kutoka Bollywood (India) chini ya kampuni ya Pilipili Entertainment ikiongozwa na Bwana Ajay.
Upande wa kamera, taa na sauti umesimamiwa na ‘cruew’ kutoka Bollywood (India) chini ya kampuni ya Pilipili Entertainment ikiongozwa na Bwana Ajay.
Mastaa walioshiriki katika filamu hiyo ni mshindi wa tuzo ya Ziff Rose
Donatus Ndauka, Hemed Suleiman Phd, Awadh Saleh, Ahmed Olotu ‘Mzee
Chilo’, Thecla Mjata ‘Mama Mjata’ na mwanamuziki Ali Timbulo.
Washiriki wengine ni Peter, Miriam Bashiri, Tutti Rahman, Latipher Mkuu, Natalia Mossi na wengineo.
Meneja Mzalishaji Mkuu wa filamu hiyo, McDenis Mgatha amezungumza na www.ubalozinirespect.blogpot.com kuwa kila msanii aliyeshirikishwa katika filamu hiyo ametokana na vigezo vilivyohitajika ndani ya stori.

Hbari na MacDenis Mgatha
0 MAONI YAKO:
Post a Comment