Hii ni cover ya wimbo huwo
Ni KUTOKA KATIKA STUDIO ZA AM records za jijini Dar-es salaam, chini ya producer Manecky
Msanii wa muziki wa kizazi kipya toka Morogoro CRISS WAMARYA ameuachia rasmi wimbo wake uitwao Rudi
Kwa kuskiliza na ku download ingia hapa
TAWA YAKABIDHI BWENI LA WASICHANA SHULE YA SEKONDARI MCHENGERWA, RUFIJI
-
Na Beatus Maganja, Rufiji, Pwani.
Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) imekabidhi rasmi bweni
jipya la wasichana katika Shule ya Sekondari...
1 hour ago






0 MAONI YAKO:
Post a Comment