FIESTA2016: Tanga wafanya yao jana, kesho Moshi
Wakazi wa jiji la Tanga usiku wa jana kuamkia leo wameingia katika Historia ya Fiesta ya mwaka 2016 baada ya usiku wa Tarh: 23 kuamkia 24 September kukamilisha shangwe za Fiesta katika uwanja wa Mkwakwani
…Read More
KAMPUNI ya Madam Rita yafungiwa...Adaiwa Kodi Bil 7
Mamlaka
ya Mapato Tanzania (TRA), kwa kushirikiana na Kampuni ya Udalali ya
Yono, wameifungia Kampuni ya Benchmark Productions na kuipa muda wa siku
14, iwe imelipa deni la kodi ya Sh bilioni 7.04, vinginevyo …Read More
KIKAO cha Lowassa Chazuiwa
Jeshi la Polisi mkoani Kagera limezuia kikao ambacho kingemshirikisha
Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, aliyefika mjini hapa kuwafariji
watu walioathirika na tetemeko la ardhi.
Uamuzi huo wa polisi umekuja…Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment