China yatumia Twitter kufunga Ubalozi wake Libya
Serikali ya China imetangaza kuchukuwa hatua ya kufunga ubalozi wake ulioko nchini Libya kwa muda.
Wizara ya Mambo ya Nje ya China imetoa maelezo kupitia mtandao wa
jamii wa Twitter na kutangaza kufungaÂ&nbs…Read More
Uingereza yaziba pengo la MCC kwa Tanzania
Miezi michache baada ya Shirika la Marekani la Changamoto za Milenia
(MCC) kujitoa kusaidia Tanzania katika usambazaji wa umeme vijijini,
Serikali ya Uingereza kupitia taasisi yake ya Energy Africa Initiative,
imetan…Read More
Makamu wa Rais mama Samia azindua kituo cha Magari
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Samia Suluhu Hassan,
akisalimiana na Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro Mhe. Said Meck Saddik
alipowasili Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro kwa ajili ya
kuanza zi…Read More
Diamond avunja nyumba yao, kaandika maneno haya
Mwanamuziki Diamond Platnumz, amevunja nyumba yao aliyozaliwa na kukulia na kujenga nyumba nyingine ya kisasa . Ameandika maneno haya katika AC yake ya Facebook
Hapa
ndipo palikuwa nyumbani kwetu Tandale nilip…Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment