Msanii Naseeb Bdul a.k.a Diamond Platnumz ambae bado yupo kwenye ziara yake nchini Uingereza, hivi karibuni alipata nafasi ya kufanya mahojiano ndani ya kipindi cha Sporah Show kikiwa na mtangazaji wake, mwanadada Sporah ...
Hizi ni baadhi ya picha zinazomuonesha Diamond akiwa katika mahojiano kwenye kipindi hicho, pia akiwa na dancers wake kutoka WASAFI ...
Picha toka Gongamx
0 MAONI YAKO:
Post a Comment