Kama hujaipata hii, leo tangu asubuhi kuna story zimezagaa kwamba, Dada yetu mpendwa , msanii toka Bongo Move miss Tanzania maarufu, Wema Setu alimpigia simu Diamond mpenzi wake wa zamani ili warudie enzi zile.
Baada ya maongezi hayo, ndipo mzazi Diamond alipoanza kufanya Recording na inasemekana amesambaza sauti hiyo ya wawili hao wa zamani.
Skia hapa. kwa hissani ya makolokocho
0 MAONI YAKO:
Post a Comment