
RUGE MUTAHABA
Leo kupitia kipindi cha Power Breakfast kinachorushwa na Clouds Fm, mkuirugenzi wa vipindi na utafiti wa Clouds fm Ruge Mutahaba alifunguka na kutoa ufafanuzi juu ya tuhuma zinazoelekezwa kwao toka kwa mwanamuziki Ladya jay dee
Lady Jay Dee
''As a country we need to discuss issue kwa maendeleo ya nchi, tuachane na ku-discuss ishu hizi kama personal issue.
Ni kweli kwamba tulikuwa hatutaki kulizungumzia hili na hata sasa, ila kutokana na msukumo ladba ni vizuri kuliongelea, ila uamuzi ulikuwa ni wetu kama tuongee au tusiongee.
''Sometimes unahisi unahitaji kusikia upande wa pili, kwa binadamu yoyote, kwa maana kuna watu ambao wanaishi mbali na hapa mjini kama Kigoma nao wanapenda kujua juu ya swala hili kwa upande wa pili likoje''.
Skiliza zaidi hapa
0 MAONI YAKO:
Post a Comment