Mama Mzazi wa msanii Albert Kenneth Mangwair, Bi Denisia Mangwair akiwa na simanzi
Dada wa Marehemu akiwa na majonzi
Majirani wakimfariji mama wa marehemu Albert Mangwea katika msiba huu Maeneo ya Kihonda Mazimbu Road Moro, ambapo mipango ya mazishi itafanyika hapa baada ya mwili wa Marehemu kuwasuili
0 MAONI YAKO:
Post a Comment